KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Wednesday, November 10, 2010

Mtoto afa kwa kuangukiwa na ukuta akiwa chooni


MTOTO Omary Rashid (3), mkazi wa Vingunguti , amefariki dunia baada ya kuangukiwa na ukuta akiwa chooni akijisaidia.
Taarifa iliyothibishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Faustine Shilogile, ilisema kuwa tukio hilo lilitokea jana majira ya saa 10 jioni huko Vingunguti,


Taarifa hiyo ilisema kuwa, motto huyo mnara baada ya kujiskia haja alikwenda chooni na alipomaliza mama yake alikwenda chooni huko kwa midajiri ya kumsafisha na wakati akwia katika zoezi la kumsafisha ukuta wa choo ukawaangukia na wote kuangukia katika shimo la choo.

Mama wa mtoto huyo alioyetambulika kwa jina la Moshi Mohamed [40] alipiga kelele na kuja kuokolewa na wasamaria lakioni tayari motto huyo alikuwa amaeshafariki dunia kutokana na kukosa hewa na kunywa maji machafu

No comments:

Post a Comment