KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Thursday, October 28, 2010

Kikwete kesho live.MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM, Jakaya Mrisho Kikwete kesho anatarajiwa kufanya mahojiano ya moja kwa moja, mdahalo utakaoanza majira ya saa 2 usiku katika ukiumbi wa Anatoglo na kurushwa na moja kwa moja na vyombo vya habari nchini.


Wananchi na waandishi wa habari watapata fursa ya kuuliza maswali kwa mgombea huyo na maswali hayo kujibiwa na mgombea huyo papohapo.

Fursa hiyo imetolewa na chama hicho kutoa nafasi ya kuulizwa maswali ya moja kwa moja kuhusiana na uchatguzi mkuuu kwa ujumla.

Meneja wa kampeni CCm, Kinana alifafanua kwua tayari Kikwete alishamaliza safari zake za kujinadi nchdi nzima na kusema ana nafasi nzuri ya ushindi kwa kuwa aliwaona wapiga kura wake ana kwa ana na kufafanuliwa kwamba katika kampeni zake alitumia jumla ya kilometa 48,000 kumaliza nchi nzima

No comments:

Post a Comment