KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Saturday, September 4, 2010

'Yesu Alikuwa ni Muathirika wa Ukimwi'Mchungaji wa kanisa moja nchini Afrika Kusini amezua zengwe kubwa nchini humo baada ya kudai kuwa Yesu alikuwa muathirika wa virusi vya HIV.
Mchungaji Xola Skosana wa kanisa la Way of Life Church la mjini Capetown, amesababisha mjadala mkubwa nchini humo baada ya kudai kuwa Yesu alikuwa muathirika wa virusi vya HIV vinavyosababisha ukimwi.

Mchungaji Skosana alisema kuwa aliamua kusema hivyo ili kuyafanya makanisa ya Afrika Kusini yaache kukaa kimya linapozungumziwa suala la kuongezeka kwa idadi ya waathirika wa ukimwi.

"Nikiwa kama mchungaji, nina jukumu la kuwajulisha watu juu ya Mungu ambaye huwajali watu na kuwatakia mema, sio ambaye huwadharau na kuwahukumu", alisema mchungaji huyo.

"Wanasema huwezi kumhusisha Yesu na Ukimwi", alisema mchungaji Skosana.

"Lakini Katika sehemu nyingi za Biblia, Yesu anajiweka kama mgonjwa na mtu wa hali ya chini, tukiwatembelea watu ambao ni wagonjwa tunakuwa tumemtembelea yeye, tukiwapuuza wagonjwa tunakuwa tumempuuza yeye", alisema mchungaji Skosana.

Mwezi uliopita, Skosana ambaye alipoteza ndugu zake wawili wa kike kutokana na ukimwi, alijipima ukimwi hadharani mbele ya wafuasi wake, wafuasi wake 100 nao walimuunga mkono na kuamua kujipima ukimwi hadharani.

Hatua yake hiyo ilipongezwa na taasisi za kupambambana na ukimwi nchini Afrika Kusini.

Hata hivyo kauli yake hii imepelekea wakristo nchini Afrika Kusini kumtuhumu kuwa analichafua jina la Yesu.

Mchungaji Skosana, ameyataka makanisa nchini Afrika Kusini kuacha ukimya wao na kuanza kuwausia waumini wao juu ya ugonjwa wa ukimwi.

Kanisa katoliki nchini humo limejiweka mbali na mijadala ya ugonjwa wa ukimwi huku likiendelea kupinga matumizi ya kondomu.

Takribani watu 1,000 wanafariki kila siku kutokana na ukimwi nchini Afrika Kusini.Mtoa Maoni:

Huyu padri kwanza akome na maneno yasiyo na ushahidi.. km kuna aliyeathirika kwa ukimwi ni babu yake na kamwe si Yesu!
Ukimwi kwanza umefika ktk karne zetu za mabalaa yasiyo na ulazima, haukuwa ukitambulika ukimwi hapo kable..
Sasa iwapo kaugua na ukimwi ina maana kapona, na km kapona dawa kumbe ipo muda mwingi, na km ipo muda mwingi mbona waathirika wanasafa kwa kuitafuta kinga/tiba yake?
Ht km lengo lilikuwa zuri basi njia uliopita ni mbaya kuliko zote, mara ya pili sema bibi yako!Mtoa Maoni:

huyu padre ku(neno baya)zake,kama ameshindwa kuhubiri injiri si atafute ajira nyinginee


Mtoa Maoni:

Taifa Stars hongera kwa matokeo ya Ageria 1-1 inatuongezea imani ya kufika fainali ya African Cup. Tuombe dua tufanye vizuri na Bwana Yesu hana ukimwi wewe punguwani Mchungaji Xola Skosana wa kanisa la Way of Life Church la mjini Capetown, huna akili wa nidhamu kwa njaa yako na maneno yako yaliyokuwa hayana hekima wala busara kwa waumuni na waliokuwa sio waumini, nafikiri una upungufu wa akili, hivyo unahitaji kusaidiwa kwa matibabu fulani.


Mtoa Maoni:

naona watu wamechoka na maisha na mpaka akili pia uyu mchungaji ana wazimu tena mkubwa

SEMY Sijasoma habari yote yani kichwa cha habari na page ya kwanz atu nimeingiwa na uwoga mana mhh!

MOMSO16 Pamoja asilimia 10000

tajiju


Mtoa Maoni:

Biblia inasema moja ya dalili za siku ya mwisho ni kuwepo kwa manabii wa uwongo huyo ni mtumwa wa shetan 100% hana hofu ya Mungu kabisa waumin wake na wote wawe makin sanaJesus in Islam


For other persons named Isa, see Isa (name).


In Islam, Jesus (Arabic: عيسى عليه السلام‎, Nabi Isa) is considered to be a Messenger of God who was sent to guide the People of Israel (banī isrā'īl) with a new scripture, the Injīl or Gospel.[1]

The Qur'an, considered by Muslims to be God's final and authoritative revelation to humankind, mentions Jesus twenty-five times.[2] It states that Jesus was born to Mary (Arabic: Maryam) as the result of virginal conception, a miraculous event which occurred by the decree of God (Arabic: Allah). To aid in his ministry to the Jewish people, Jesus was given the ability to perform miracles, all by the permission of God rather than his own power. According to Islamic texts, Jesus was neither killed nor crucified, but rather he was raised alive up to heaven.[3] The Qur’an states that he will return to Earth near the day of judgment to restore justice and defeat al-Masīḥ ad-Dajjāl ("the false messiah", also known as the Antichrist)[4][5] along with Imam Mahdi.

Like all prophets in Islam, Jesus is considered to have been a Muslim, as he preached that his followers should adopt the "straight path" in submission to God's will. Islam rejects the idea that Jesus was God incarnate or the son of God, that he was ever crucified or resurrected, or that he ever atoned for the sins of mankind. The Qur'an emphasizes that Jesus himself never claimed any such thing, and it furthermore indicates that Jesus will deny having ever claimed divinity at the Last Judgment, and that Allah will vindicate him.[6] Rather, the Qur'an emphasizes that Jesus was a mortal man who, like other prophets, had been divinely chosen to spread God's message. Islamic texts forbid the association of partners with God (shirk), emphasizing the notion of God's divine oneness (tawhīd).

Numerous titles are given to Jesus in the Qur'an, such as al-Masīḥ ("the messiah; the anointed one" i.e. by means of blessings), although this particular term does not correspond with the meaning given to it by Christians or Jews. Jesus is seen in Islam as a precursor to Muhammad, and is believed by Muslims to have foretold the latter's comingwho is jesus in christianityJesus of Nazareth (c. 5 BC/BCE – c. 30 AD/CE),[3] also known as Jesus Christ or simply Jesus, is the central figure of Christianity, which views him as the Messiah foretold in the Old Testament. Christians believe that Jesus is the Son of God (in the concept of the Trinity, he is God [as] the Son), who came to provide humankind with salvation and reconciliation with God by his death for their sins.[6][7] Note however that not all groups that identify with Christianity are Trinitarian, and not all Nicene-based groups believe that he is the Son of God and God incarnate who was raised from the dead. Although Jesus' teachings were first addressed to the Jewish people, Judaism gives Jesus no distinctive status and categorically rejects claims of Jesus as the messiah.

The principal sources of information regarding Jesus' life and teachings are the four canonical gospels, especially the Synoptic Gospels,[8][9] though some scholars believe texts such as the Gospel of Thomas are also relevant.[10]

Critical Biblical scholars and historians believe that the New Testament is useful for reconstructing Jesus' life.[11][12][13] Most[who?] agree that Jesus was a Jew who was regarded as a teacher and healer, that he was baptized by John the Baptist, and was crucified in Jerusalem on the orders of the Roman Prefect of Judaea, Pontius Pilate, on the charge of sedition against the Roman Empire.[14]

Academic debate continues regarding the chronology, the central message of Jesus' preaching, his social class, cultural environment, and religious orientation.[10] Critical scholars have offered competing descriptions of Jesus as a self-described messiah, as the leader of an apocalyptic movement, as an itinerant sage, as a charismatic healer, and as the founder of an independent religious movement. Most contemporary scholars of the historical Jesus consider him to have been an independent, charismatic founder of a Jewish restoration movement, anticipating an imminent apocalypse.[15][citation needed] Other prominent scholars, however, contend that Jesus' "Kingdom of God" meant radical personal and social transformation instead of a future apocalypse.[15]

Christians traditionally believe that Jesus was born of a virgin,[6]:529-532 performed miracles,[6]:358-359 founded the Church, rose from the dead, and ascended into heaven,[6]:616-620 from which he will return.[6]:1091-1109 While the doctrine of the Trinity is accepted by most Christians, a few groups reject the doctrine of the Trinity, wholly or partly, as non-scriptural.[16] Most Christian scholars today present Jesus as the awaited Messiah and as God,[17] arguing that he fulfilled many Messianic prophecies of the Old Testament.[18]

Judaism rejects assertions that Jesus was the awaited Messiah, arguing that he did not fulfill the Messianic prophecies in the Tanakh.[19] In Islam, Jesus (Arabic: عيسى‎, commonly transliterated as Isa) is considered one of God's important prophets,[20][21] a bringer of scripture, the product of a virgin birth, and a worker of miracles. It also teaches that Jesus ascended bodily to heaven without experiencing death at the crucifixion.[22] Islam and the Baha'i Faith use the title "Messiah" for Jesus,[23][24] but do not teach that he was divine.

No comments:

Post a Comment