KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Saturday, September 4, 2010

Askofu Awaponda Wanaomtukana Kikwete



Askofu Mkuu wa kanisa la Moravian jimbo la Magharibi, Issac Nicodemus ameelezea kushangazwa na tabia ya wagombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya vyama vya upinzani kumponda mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Rais Jakaya Kikwete.
Askofu Nicodemus aliwataka wapinzani waache kumtaja Mgombea wa CCM Rais Jakaya Kikwete wanapokuwa kwenye mikutano yao ya hadhara badala yake wawaeleze wananchi watawafanyia nini wakipewa ridhaa ya kuongoza nchi.

Askofu huyo alisema hayo jana ijumaa wakati akizungumza katika mkutano wa wadau wa habari na waandishi wa habari kutoka mikoa ya Kigoma na Tabora ulioandaliwa na umoja wa vilabu vya waandishi wa habari mikoani (UTPC).

Katika mkutano huo Askofu Nicodemus alisema kuwa amefuatilia kampeni za vyama vingine kikiwemo CHADEMA na CUF na kubaini kuwa wanatumia muda mwingi kutukana na kukosoa bila kutaja vipaumbele vyao na hivyo kuwachanganya wapiga kura ambao kimsingi wanahitaji kujua ilani na sera za vyama vyao na si matusi.

Alisisitiza kuwa inawawia vigumu viongozi wa kidini kama wapiga kura kuamua nini cha kufanya kutokana na kutopata kile wanachotarajia kusikia kutoka kwa viongozi hao badala yake wamekuwa wakisikia jina la Rais Kikwete likitajwa katika sehemu kubwa ya hotuba zao majukwaani.

Aliongeza kuwa kikubwa ambacho wananchi wanataka kusikia kutoka kwa viongozi wao ni namna gani wataweza kutekeleza utatuzi wa kero mbalimbali katika jamii endapo watavichagua vyama au kuvipa ridhaa na kuwataka viongozi hao kuacha kutumia lugha ngumu majukwaani.

Askofu Nicodemus alisema kuwa wakati mwingine wapiga kura wanachanganyikiwa wanapoona viongozi wanaotaka kuwapa ridhaa ya kuongoza nchi wakitoa maneno mazito ambayo wakati mwingine yanaonyesha kutoleta mustakabali mzuri wa nchi yetu.

Amewaasa viongozi hao kuwa lugha nzuri na ahadi zinazotekelezeka ndiyo njia pekee ambayo itawafanya watanzania waviamini vyama vya upinzani na kuwapa ridhaa viongozi wao ya kuongoza nchi.

Katika hatua nyingine kiongozi huyo wa kiroho amevitaka vyombo vya habari nchini kuandika habari zilizoiva, kufanyiwa utafiti wa kina na zisizo pendelea upande wowote katika wakati huu wa mchakato wa uchaguzi mkuu.

Akizungumza katika mkutano huo Mkuu wa mkoa Tabora, Abeid Mwinyimsa amewaasa waandishi wa habari kuacha kuandika habari za uchochezi na za uongozi kwa sababu tu wamepewa pesa na wanaotaka habari hizo zitoke.

Alisema kuwa kwa vyombo vya habari na waandishi wa habari kufanya hivyo kutakuwa kunanyima fursa wananchi ya kupata habari lakini pia ni ukiukwaji wa maadili wa taaluma hiyo sambamba na uvunjaji wa katiba ya nchi.





Mugabe forced to accept SADC mediation


Tanzanian President Jakaya Kikwete:

afrol News, 29 March - At today's Southern African Development Community (SADC) summit, South Africa's President Thabo Mbeki was appointed to mediate the political crisis in Zimbabwe. Zimbabwean President Robert Mugabe faced harsh criticism from his colleagues at closed-doors meetings and left the summit early, without comment.

Already before today's meetings started, the host, Tanzanian President Jakaya Kikwete, made it clear that his Zimbabwean counterpart would be met with tougher demands than he is used to from his Southern African neighbours. He insisted the Zimbabwean crisis required "urgent" attention from SADC leaders, who would now seek a solution.

Then, the doors were closed and regional heads of state could be more frank about what they thought about President Mugabe's brutal handling of the Zimbabwean opposition.

It soon became clear that SADC leaders now were demanding. President Mugabe was among the first to leave the meetings - and he did not seem pleased. He refused to make any comments to reporters.



Model Millen (L) & President Jakaya Kikwete of the United Republic of Tanzania at the Tanzania Education Trust whcich took place in New York City, Plaza Athenee on April 19, 2010




One is the isolation of Tanzania within East Africa as the situation in Kenya begins to resemble that of other countries in the region particularly Uganda where in 2006 a closely contested election produced an ambiguous result (with ballot rigging and delayed announcement of the results) which has robbed President Museveni of popular legitimacy.

Ugandan government has unsurprisingly relied on force, riot police, intimidation of political opponents and a clampdown on freedom of speech- all instruments of coercion that have become the inevitable retreat of failing legitimacy.

Tanzania, which while it has a monolithic system, considers itself as largely civil and democratic will find few friends in the region, already distancing itself from the proposed East African Federation over similar concerns of “democracy”.

Additionally, a potential police state at the borders of Uganda is a blow to Kampala’s own progress toward “democratization”. Uganda in the last two decade has no qualms dealing with security issues which have been at the center of the state and may see itself as able to do business with a Kibaki presidency which mirrors its own power politics.

However surrounded by uncertainty including serious security risks from Burundi, Rwanda, DRC, and Sudan- Uganda’s priorities will remain in the security sector as the country rolls towards another difficult re-election bid by President Yoweri Museveni in 2011.


On Tuesday, April 28, U.S. ChargĂ© d’Affaires Larry AndrĂ© and USAID Mission Director Rob Cunnane joined Tanzanian president Jakaya Kikwete to launch the ANGAZA ZAIDI HIV/AIDS testing campaign. Americans and Tanzanians are partners in the fight against HIV/AIDS and AMREF’s plays a key role in this partnership through the Angaza Zaidi campaign. Funding for Angaza Zaidi comes from the American people through PEPFAR, the U.S. President's Emergency Plan for AIDS Relief. PEPFAR is the largest international health commitment ever made by any nation to fight a single disease.

The success of our partnership is shown in the millions of Tanzanians who have received voluntary testing and counseling, the millions who receive care and treatment, and the millions who have understood--and applied--prevention messages. Counseling and Testing for HIV/AIDS allows Tanzanians to participate in the fight against the disease by learning their status and then taking necessary steps to control the spread of the illness. We are proud of our partnership with the people and government of Tanzania to ensure that these essential services are available to all Tanzanians.

AMREF Tanzania is receiving a new five-year award from the American people for the rapid scale-up of counseling and testing that builds on lessons learned through both the Angaza Project and the extremely successful 2007 National Voluntary Counseling and Testing Campaign led by President Kikwete. The President and First Lady Mama Kikwete have led the way. Since the first couple stood up in July 2007 and publicly tested for HIV/AIDS, over 4 million Tanzanians have followed their example and have been tested. We applaud their leadership and the GOT’s advocacy in all aspects of the fight against HIV/AIDS and the stigma associated with it.

The Tanzanian-American Partnership to improve the health of this beautiful country will continue. We believe a Tanzania without is possible. TANZANIA BILA UKIMWI INAWEZEKANA.







President Obama and President Kikwete met at the White House on Thursday afternoon, May 21, and had a valuable discussion on a range of issues. President Obama expressed his appreciation for the close bilateral relationship the United States shares with Tanzania. The Presidents exchanged views on approaches to enhancing the U.S.–Tanzanian partnership, improving development policy in the fields of health, education, and agriculture, and working with other partners in the region to solve some of the most pressing conflicts on the African continent. President Obama and President Kikwete expressed a desire to work together to solve common problems in the future. President Kikwete was the first African Head of State to visit President Obama at the White House.





U.S. President George W. Bush meets with Tanzanian president Jakaya Kikwete in the Oval Office August 29, 2008 in Washington, DC. President Kikwete is visiting the U.S. at the invitation of President Bush.

No comments:

Post a Comment