KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Wednesday, September 8, 2010

Tani za mtama usiofaa wakamatwa ZanzibarTANI 24 za mtama usiofaa kwa matumizi ya binadamu zimekatwa Zanzibar ukiwa tayari kwa kusambazwa kwa ajili ya matumizi ya binadamu.

Tani hizo zimekatwa na Mamlaka ya Chakula Zanzibar ambapo tani zingine zikiwa katika harakati za kupelekwa Bara kwa ajili ya biashara.

Mfanyabiasha Hatibu kutoka nchini Pakistani aliingiza tani hizo visiwani humo kwa lengo la kufanya bishara ili hali mtama haufai kwa matumizi ya binadamu

No comments:

Post a Comment