KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Wednesday, September 8, 2010

Polisi kwa kete 300 za bangiHAMISI Othumani [28] amekamatwa na polisi kwa kosa la kupatikana na kete 300 za mmea aina ya bangi wakati akiwa katika harakati za kusambaza kwa watumiaji wa mmea huo.
Mtuhumiwa huyo amekamatwa maeneo ya Buguruni na askari waliokuwa doria maeneo hayo majira ya alasiri jana.

Mtuhumiwa huyo yuko chini ya ulinzi wa polisi na taratibu zinafanyika ili akajibu shitaka hilo mbele ya Mahakama.

Wakati huohuo Bakari Hamisi [46] amekamatwa akiwa na lita 60 za pombe haramu aina ya gongo huko maeneo ya Keko Mwagurumbasi, jana majira ya jioni.
AMekatwa na lita hiuzo akiwa amezibeba kwenye usafiri aina ya baiskeli akiwa anaelekea kwenye eneo anapouzia pombe hiyo

No comments:

Post a Comment