KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Saturday, September 4, 2010

JK aendelea kutoa ahadi


MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM. Jakaya Kikwete anaendelea kutoa ahadi zake katika kampeni anazoendelea nazo mikoani na kuahidi kutoa vyandarua viwili katika kila kaya.
Kikwete alitoa ahadi hiyo mkoani humo kwa lengo la muendelezo wa mpango wake wa kudhibiti ugonjwa wa malaria nchini.

Kikwete alisema atatoa vyandarua hivyo ikiwa ktika kampeni ya kuondoa tatizo hilo nchini na vyandarua hivyo vinatengenezwa na kiwanda cha A to Z cha Arusha chini ya mradi maalumu uliogharamiwa na Serikali ya Marekani.

Alisema vyandarua hivyo atawagawia wanaume ambao wengi wao hutumia vyandarua vilivyotolewa vya watoto chini ya miakda mitano ambavyo havikidhi haja zao

Hata hivyio mgombea huyo anaendela ktuoa ahadi hizo ikiwa tayarai chamda cha chadema kimeshawasilisha pingamizi dhidi ya mgombea huyo

No comments:

Post a Comment