KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Wednesday, August 25, 2010

Joseph aendelea na dozi


IMEDAIWA kuwa hali ya kiafya ya Joseph inatia moyo baada ya kuanza dozi kwa kupelekwa kwa mganga wa kienyeji maeneo ya Chamanzi.
Ndugu wa karibu aliyoota taarifa hiyo alidai, ndugu yao huyo hali yake inatia moyo kutokana na dawa alizopatiwa na mganga huyo.

“Leo tunashukutu tumeamka vizuri hali yake inatia moyo baadhi ya mambo ambayo alikuwa akilalamikia yamepungua” alidai ndugu huyo kwa njia ya simu

Hata hivyo nifahamishe ilipomtaka ndugu huyo kumjuza japo kidogo, walichoambiwa na mganga huyo na hasa kinachomsibu ndugu yao huyo hakuwa tayari na kudai ni mambo mazito na kudai ni ya kifamilia zaidi” labda ngoja tuone hali yake imetengemaa zaidi” alidai ndugu huyo

Hivyo mwandishi wa habari hii atafatilia kwa ukaribu zaidi hadi ifahamike nini hasa kilikuwa kinamsumbua Joseph hadi akakimbiziwa kwa mganga huyo

No comments:

Post a Comment