KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Saturday, July 24, 2010

Marando aitema NCCR ajiunga naChadema

MWANASIASA ambaye pia ni wakili maarufu nchini, Mabere Marando amejitoa ndani ya NCCR- Mageuzi na kujiunga na Chadema ili kuweza kuiondoa CCDM madarakani.
Marando aliwaambia waandishi wa habari kuwa, amechukua uamuzi huo ili kuweza kuongeza nguvu ndani ya chama hicho na kuhakikisha kuona Slaa anashinda urais katika uchaguzi mwaka huu.

Marando ambaye ni mwanzilishi wa mageuzi nchini alisema yeye na wenzake wa mageuzi wamekuwa na malengo makuu mawili ambayo kwanza ni kutaka wananchi kufahamu umuhimu wa mfumo wa vyama vingi na pili, kuanzisha vyama kwa lengo la kuing’oa CCM madarakani.

Hivyoi amesemaamefurahishwamaamuzis ya Chadema kumsimamisha Slaana kwa kuwa watue wengikupokea vizuri chaguzi hiyo nimeamua kuja huku kuongeza nguvu”

No comments:

Post a Comment