KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Tuesday, June 22, 2010

Ureno yainyuka Korea Kaskazini


Pambano hilo lilionyeshwa moja kwa moja katika televisheni nchini Korea na hii ni mara ya kwanza kuonyesha mechi iliyochezwa ng'ambo katika kituo pekee cha televisheni nchini humo. Matokeo hayo ni miongoni mwa matokeo ya kishindo kikubwa katika Kombe la Dunia ,ingawa Korea ya Kusini ilifungwa mabao 9 kwa bila na Hungary katika michuano ya mwaka 1954.

Katika mechi nyingine Chile iliishinda Uswizi bao moja kwa bila.

No comments:

Post a Comment