KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Friday, June 18, 2010

Ukiwa na mke mbabe mwanaume huna amani


Ukiwa na mke mbabe mwanaume huna amani, ukimkorofisha kidogo tu mama watoto badala ya kukuvurumusha na mwiko atakushushia magumi, angalia video hii ya mwanaume akipewa kichapo barabarani na mkewe nchini Marekani

No comments:

Post a Comment