KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Thursday, June 10, 2010

Mawaziri kushitakiwa kwa ufisadi, Uganda

Mwendesha mashtaka mwandamizi nchini Uganda amethibitisha kuwa atawafungulia mashtaka ya ufisadi makamu wa rais wa nchi hiyo pamoja na waziri wa mambo ya nje.

Makamu wa rais Gilbert Bukenya, na waziri Sam Kutesa ni miongoni mwa viongozi wa serikali wanaoshutumiwa kwa wizi wa zaidi ya $25M wakati wa mkutano wa viongozi wa Jumuiya ya Madola, Commonwealth mnamo mwaka wa 2007.


Nchi ya Uganda
Waandishi wamesema kuwa uchunguzi huo umekuwa ukiendelea kwa muda japo lazima kwanza idhini itoke bungeni kabla ya hatua yoyote ya kisheria kuchukuliwa dhidi ya washukiwa hao.

No comments:

Post a Comment