KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Saturday, January 30, 2010

Majeshi ya Umoja wa Afrika yauawa


Takriban askari wawili wa jeshi la kutunza amani la Umoja wa Afrika wameuawa katika shambulio la kijeshi katika sherehe za kuadhimisha mwaka mmoja tangu Rais wa nchi hiyo alipoingia madarakani.
Inakadiriwa wengine 11, wakiwemo raia, wameripotiwa kuuawa katika ghasia mjini Mogadishu.

Kundi la kiislamu la al-Shabab limesema limehusika na mashambulio hayo.

Maafisa takriban 200 wa Somalia walikuwa wakisikiliza shairi lililokuwa likisomwa kwa Rais akiadhimsha siku hiyo wakati waliposikia makombora yakirushwa karibu na walipokuwa.

Rais Sheikh Sharif Sheikh Ahmed, aliyekuwa mpiganaji, alichaguliwa kuwa Rais wa Somalia baada ya kufanya mazungumzo mjini Djibouti yaliyofadhiliwa na Umoja wa Mataifa lakini serikali yake bado inaonekana kuwa dhaifu.



Ethiopia's prime minister has warned parliament that Somali Islamist fighters are massing near the border.
Meles Zenawi said Ethiopian troops were ready to defend themselves against possible attack.

He also said he had sent military trainers to help Somalia's beleaguered government but they were not to fight.

Somalia's Islamists have declared "holy war" on Ethiopia, raising fears of a regional conflict. They deny Ethiopian claims they have al-Qaeda links.
There have been several eyewitness reports of hundreds of Ethiopian troops in Somalia.

No comments:

Post a Comment