KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Monday, November 23, 2009

Tottenham 9 - 1 Wigan


Tottenham 9 - 1 Wigan

Mchezaji Jermaine Defoe wa Tottenham alifunga mabao matano kusaidia timu yake kuipa kipigo cha mabao tisa kwa moja Wigan.
Wengine waliofunga kwenye mechi hiyo ni Peter Crouch, Aaron Lennon na Niko Kranjcar huku kipa Chris Kirkland akijifunga mwenyewe.Bao la kufuta machozi la Wigan lilifungwa na Paul Scharner katika dakika 57.

Hii ni mara ya kwanza kwa timu kufunga mabao tisa katika mchezo wa ligi kuu ya soka ya England tangu Manchester United iwafunge Ipswich 9-0 katika uwanja wa Old Trafford mwaka 1995

No comments:

Post a Comment