KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Wednesday, November 18, 2009

Kitson ajiunga na Boro kwa mkopo
Middlesbrough imemsajili mshambuliaji wa Stoke City, Dave Kitson kwa mkopo wa miezi miwili.
Anakuwa mchezaji wa tatu kusajiliwa na Boro kwa mkopo tangu meneja Gordon Strachan kuwasili kuifunza timu hiyo. Wengine waliosajiliwa kwa mkopo ni mshambuliaji Marcus Bent na kiungo Isaiah Osbourne.

Bent amekwishapachika mabao mawili tu katika michezo 25 ya Ligi Kuu tangu alipojiunga na timu hiyo akitokea Reading mwaka 2008.

Kitson huenda akacheza mechi yake ya kwanza siku ya Jumamosi dhidi ya Nottingham Forest.

No comments:

Post a Comment