KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Friday, October 16, 2009

Rais jk apokea na kuhitimisha mbio za mwenge butiama


Rais jk apokea na kuhitimisha mbio za mwenge butiama jioni hii
Kiongozi wa mbio za ,mwenge mwaka huu 2009 Kheir Ahmada Mwawalo akiukabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika kilele cha sherehe za mbio hizo zilizofanyika Butiama,

mkoani Mara leo mchana Aliyesimama pembeni ya Rais kulia ni Waziri wa vijana Kazi na maendeleo ya ajira Zanzibar mheshimiwa Asha Abdallah juma
Kiongozi wa Mbio za mwenge mwaka huu Kheir Ahmada Mwawalo akimkabidhi Rais Kikwete nakala ya risala ya mwenge na taarifa za risala mbalimbali

zilizosomwa wakati wa mbio za mwenge mwaka huu katika kilele cha sherehe hizo zilizofanyika Butiama mkoani Mara leo mchana.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi mwenge wa Uhuru Waziri wa Kazi Vijana na maendelo ya ajira Profesa Juma Kapuya katika viwanja vya Butiama wakati wa kilele cha mbio za mwenge zilkizofanyika kijijinji hapo leo mchana.Picha kwa hisani ya Freddy Maro wa Ikulu

No comments:

Post a Comment