KUTENDA WEMA BILA KUSUBIRI FADHILA NI BORA KULIKO KUSUBIRI
WEMA NI KITU GANI?
WEMA NI KIFAA CHENYE MFUMO WA HURUMA NA MSINGI WA UTULIVU NA UKUTA WA AMANI.
NAFSI YENYE WEMA NDANI YAKE, HUONEKANA KUPITIA ALAMA YA MATENDO NA MANENO YAKE.
NAFSI YENYE KUTOA MSAADA WA MANENO NA MATENDO, MAZURI JUU YA NAFSI NYINGINE, HUJIJENGEA UJASIRI WA KUONDOA MATATIZO KATIKA JAMII.
NAFSI (MTU ) INAPOONGEA MANENO MAZURI NA YENYE ELIMU KWA JAMII, JAMII INAIPENDA
(MTU MWENYE LUGHA NZURI AU MATAMSHI MAZURI) NA MATENDO MAZURI HUJIONGEZEA HISA YA UAMINIFU KATIKA JAMII.
UAMINIFU NI MSINGI BORA WA IMANI JUU YA NAFSI YENYE MANENO MAZURI.
MANENO NA MATENDO NI VITU VIWILI VYENYE KUBEBA USTAARABU WA NAFSI (MTU) HUSIKA. IKIWA MTU NI MWEMA UTAMTAMBUWA KUTOKANA NA AHADI (MATAMSHI YA MDOMO) NA KWA MATENDO ( UTEKELEZAJI WA MATAMSHI JUU YA AHADI), YAKE UTAPATA PICHA KAMILI YA UWEZO WAKE KATIKA MAONGEZI NA UTENDAJI WAKE WA KAZI.
KWA NINI MTU ATENDE WEMA?
HAKUNA BINAADAMU MWENYE UWEZO WAKUJITEGEMEA, BILA KUHITAJI MSAADA KUTOKA KWENYE NAFSI (MTU) NYINGINE.
KWA NINI ?
KWASABABU ILI MTOTO AZALIWE, PANAHITAJIKA BABA NA MAMA.
MATIBABU NI MUHIMU, LAZIMA DAKITARI AWEPO, ILI AWEZE KUTUBU YULE MGONJWA.
ILI MTU AWEZE KUITA NAFSI NYINGINE, BOSI NI LAZIMA AWE AMEAJIRIWA NAYE.
HAYO NI BAADHI YA MAMBO AMBAYO BINAADAMU ANAHITAJI KUYAZINGATIA.
KUTENDA WEMA : KUTENDA WEMA KUNATOKANA NA MTAZAMO WA NAFSI JUU YA JAMBO (TATIZO) HUSKA.
KWANZA TUTAMBUWE YA KWAMBA KUTOA NDIO MSINGI WA WEMA.
KUTOA NI NAFSI KUPUNGUZA, KITU (PESA, MALI, WAKATI AU MUDA, NGUVU,…….N.K) AKIBA YAKE NA KUSAIDIA NAFSI NYINGINE. KILA MTU ANAPENDA KUONGEZA ALICHOKUWA NACHO ILI AWEZE KUKABILANA NA HALI YA MAISHA.
IKIWA KILA MTU ANAPENDA KUONGEZA KIPATO MAISHANI MWAKE, ITAKUWAJE JUU YA WALE BINAADAMU WENYE KUKWAMA, KUKOSA AU KUPUNGUKIWA KATIKA NJIA YA KUONGEZA
MAHITAJI AU KIPATO CHA NAFSI ZAO ?
NDIO MAANA TUNASEMA WEMA SIOJAMBO AMBALO NI RAHISI NI JAMBO LENYE KUHITAJI MSINGI WA HURUMA NA UKUTA WA KUJALI HISIA ZA WATU MASIKINI. HUWEZI KUWA NA HURUMA BILA KUWA NA MSINGI WA WEMA MOYONI MWAKO. MTU MWEMA ANAPOTOA MSAADA, HAGEUKE KUULIZA FIDIA. MTU MWEMA ANAAMINI YA KWAMBA FIDIA YA WEMA INATOKA KWA MWENYEZI MUNGU NA HUAMINI KWAMBA KUMSAIDIA MASIKINI KUNAMPUNGUZIA(MASIKI) MAUMIVU YA NAFSI NA KUMPA(MASIKINI) AMANI NA UTULIVU. MASIKINI ANAPOKOSA MSAADA KUTOKWA KWA WATU, TAYARI HUBADILIKA (MASIKINI) NA KUANZA TABIA NGENI KAMA WIZI, UTAPELI, UNAFIKI, UKAHABA, UCHAWI….N.K. ILIMLADI APATE
No comments:
Post a Comment