BAADA YA KUIBUKA SHUTUMA KUWA RAIS WA MAREKANI, BARACK HUSEIN OBAMA, ALIKWEPA HAFLA YA KUAGA MWILI WA MFALME WA MUZIKI WA POP, MICHAEL JACKSON, IKULU YA NCHI HIYO IMEAMUA KUJIBU MADAI HAYO.
KWA MUJIBU WA MSEMAJI WA IKULU, ROBERT GIBBS, RAIS BARACK HUSEIN OBAMA ALITOA USHIRIKIANO UNAOSTAHILI KWA FAMILIA YA MICHAEL JACKSON KWA SIRI.
GIBBS ALIMESEMA, BAADA YA KUTANGAZWA KWA KIFO CHA M.JACKSON, RAISI BARACK HUSEIN OBAMA BINAFSI, ALIANDIKA BARUA KWA FAMILIA YA MAREHEMU AKIWAPA POLE KWA MSIBA ULIOWAPATA BILA KUSHIRIKISHA VYOMBO VYA HABARI.
AKIELEZEA NAMNA RAIS BARACK HUSEIN OBAMA ALIVYO GUSWA NA KIFO HICHO, GIBBS ALISEMA JULAI 7, MWAKA HUU, RAISI BARACK HUSEIN OBAMA ALIHOJIWA NA KITUO CHA CNN AMBAKO PAMOJA NA KUELEZEA KUGUSWA KWAKE NA KIFO HICHO, ALIMWELEZEA MICHAEL JACKSON KAMA MWANAMUZIKI MWENYE KIPAJI CHA KIPEKEE.
JUMANNE ILIYOPITA, MWILI WA MICHAEL JACKSON ALIYEFARIKI JUN 25 KATIKA HOSPITALI YA UCLA, MJIN LOS ANGELES, MAREKANI, ULIAGWA RASMI KWENYE UKUMBI WA STAPLES CENTER, JIJINI LOS ANGELES.
RAIS BARACK HUSEIN OBAMA, HAKUWEZA KUHUDHURIA HAFLA HIYO KWANI ALIKUWA MJINI MOSCOW, RUSSIA, AKIHUDHURIA MKUTANO NA HAKUWA NA MWAKILISHI YEYOTE KATIKA HAFLA YA KUMUAGA MFALME WA POP MICHAEL JACKSON.
HADI SASA JESHI LA POLISI KATIKA JIJI LA LOS ANGELES, WANAENDELEA NA UCHUNGUZI WA CHANZO CHA KIFO HICHO HUKU WAKIJIELEKEZA KATIKA UTUMIAJI WA DAWA ZA KUPUNGUZA MAUMIVU KABLA YA KIFO CHAKE ( MICHAEL JACKSON ) KAMA ALIKUWA AKIZINGATIA USHAURI WA KITABIBU AU LA.
KUMEKUWEPO NA UTATA MKUBWA KAMA MWILI WA MICHAEL JACKSON UMEZIKWA AU LA HUKU BAADHI YA WATU WAKIHISI YA KWAMBA HUENDA MWILI WA MICHAEL JACKSON ULIZIKWA SIKU MBILI KABLA YA KUAGWA RASMI STAPLE CENTRE.
UTATA MWINGINE WA KIFO CHA MICHAEL JACKON NI NINI ?
MAOFISA WA HALMASHAURI YA JIJI LA LOS ANGELES WAMEOMBA KUPITIWA UPYA GHARAMA ZA DOLA ZAIDI YA MILLION 1.3.,ZILIZOTUMIKA KATIKA TUKIO LA KUAGWA KWA MWILI
WA MFALME WA POP, MICHAEL JACKSON ILI KUUA NI NANI ATAKAYELLIPA.
RAISI WA AEG, TIM LEIWEKE, ALIWAHI KUSEMA KUWA KAMPUNI YAKE ITALIPIA SHUGHULI ZA TUKIO PEKEE NA SI GHARAMA NYINGINEZO. SHUGHULI AMBAYO IMEONYESHA KUTUMIA GHARAMA ZAIDI NI YA ULINZI AMBAYO INAKADIRIWA KUFIKIA KIASI CHA DOLA MILION MATANO
( USD, $ 500,000,000 )
TUKIO HILO LILITAZAMWA NA MASHABIKI WA MAREKANI ZAIDI YA MILIONI 30,000,000 NA MAMILIONI WENGINE DUNIAN KOTE KUPITIA TELEVISHENI.
No comments:
Post a Comment