KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Saturday, June 27, 2009

MKE NA MUME MAISHANI



MWENYEZI MUNGU ALIPOUMBA BINAADAMU, ALITUUMBA KWA UMBILE BORA KABISA. MUNGU ALIMUUMBA MKE NA MME KATIKA KILA KIUMBE. BINAADAMU WOTE TULIUMBWA KWA UDONDO, LAKINI KINACHOSHANGAZA NI MWAZO WA UMBILE LETU ( MANII AU MAJI ).NA BAABADA YA HAPO TUNAKUA NI WENYE UWEZO WA KUONGEA,KUTEMBEA,KUKAA,KULIMA,KUVUNA,KUZAA NA KUINGIZA MBEGU YA KIZAZI,KUFURAHI,KUCHUKIA,RAHA,KARA,KIU,NJAA,MARADHI…..NK. YOTE HAYO SISI KAMA BINAADAMU HATUNA BUDI YA KUKWEPA MAJUKUMU YETU AU KUKOSA SHUKURANI KWA YULE (MWENYE MUNGU ) AMBAYE AMEUMBA NAFSI ZETU KUTOKANA NA ARDHI NA AKATUPA FAHAMU (ELIMU ) YA KUTUMIA ARDHI NA KISHA TUNA PATA MAHITAJI YETU KAMA
CHAKULA,KINYWAJI,MATIBABU,KUZALIANA,KUISHI KATIKA MAZINGIRA YA BARIDI NA JOTO,GIZA,MWANGA……...KUTOKA KATIKA UKUMBI WA ARDHI HII. ARDHI NI FAHARI YA BINAADAMU KUMBUKA YA KWAMBA BINAADAMU HAWEZI KUWEPO BILA ARDHI LAKINI ARDHI ILIWAHI KUWEPO BILA BINAADAMU.NDIO MAANA BINAADAMU ANAHITAJI NARDHI ILI AISHI SIO ARDHI INAYOMUHITAJI BINAADAMU. HATUNA BUDI YA KUTOA SHUKURANI KWA MWENYEZI MUNGU JUU YA ZAWADI HII TUKUFU YA ARDHI.

No comments:

Post a Comment