KARIBU MAISHANI
KARIBU MAISHANI
Saturday, June 27, 2009
KILA PICHA INA HISTORIA AU VIPI ?
UKIANGALIA PICHA HII UTAONA YA KWAMBA INAMVUTO WA KUTULIZA MUANGALIAJI. KWA UPANDE MWINGINE PICHA HII INAONYESHA KWAMBA KILA KITU KINA FAIDA HATA KAMA KITAKUWA KIMEKUFA
KIUHAI.
UKITAZAMA MTI ULIOKO KWENYE PICHA HII, UTAONA YA KWAMBA UMEKAUKA LAKINI UMEWEZESHA CHUI KUPUMZIKA NA KUFURAHIA MAISHA.
CHUI NI MNYAMA AMBAYE ANA UWEZO WA KUISHI CHINI NA JUU YA MTI.
CHAKULA CHA CHUI KINATOKANA NA KAZI YAKE YA KUINDA WANYAMA WADOGO WADOGO KAMA DIGIDIGI, SWALA …….N.K.
CHUI ANA UWEZO WA KUWINDA MNYAMA NA KUMPANDISHA JUU YA MTI NA KUMUHIFADHI ( KWA USALA ZAIDI WA RIZIKI YAKE )AKAWA ANAKULA KIDOGO KIDOGO.
CHUI ANA UWEZO WA KUONA MCHANA NA USIKU.
CHUI NI JAMII YA PAKA.
CHUI NI MNYAMA WA KUPENDEZA KWA KUMWANGALIA LAKINI NI HATARI KWA UHAI WA BINAADAMU ANAPOTAKA KUMFUGA AU KUMCHOKOZA.
CHUI NI KIUMBE AMBACHO MUNGU AMEKIUMBA KATIKA UMBILE BORA KABISA NA ANA ( CHUI ) UWEZO WA KUZAA AU KUWEKA MBEGU YA MTOTO.
UKITAKA KUMWANGALIA CHUI NA MATENDO YAKE NJOO AU TEMBELEA HIFADHI ZA WANYAMA KAMA SERENGETI,MIKUMI,RUAHA,SELOU………..N.K
KARIBU TANZANIA, USHUHUDIE MNYAMA MZURI SANA AMBAYE NI CHUI.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment