KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Thursday, May 21, 2009

Maisha na Kifo ni wajibu wetu sote












Hawa ni baadhi ya wanaharakati mbalimbali waliopigania kwa nguvu zote kuhusu sera na haki za wananchi wao ila kwa njia moja ama nyingine waliweza kuitwa kwa majina tofauti na kuonekana kama maadui wa dunia hii! Licha ya kuwa na mamilioni ya watu waliojua kuwa sera zao zilikuwa kwa ajili ya ukombozi wa kweli! ebu tuwaone!























Baada ya misuguano na vurugu mbalimbali haya ndiyo yalikuwa majaliwa yao! je ilikuwa haki iwe hivi! je wangelijua mwisho wao ungekuwa kama hivi, wangedai haki zao! je dunia imewatendea haki!

No comments:

Post a Comment