KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Sunday, March 29, 2009

MFUNGWA WA DENI NDANI YA CHUPA


Kajamaa ka chupa kadaiwa!

Huyu jamaa kweli ni kiboko!
Hako kamtu unakakaona kwenye mfuniko wa kioo ni mdaiwa wake, yaani jamaa kadai kaona kheri amfunikie kwenye hiyo chupa ya kioo ili jamaa atie akili au kama kuna ndugu zake waje wamlipe ili mshikaji apate chake!
Kweli sasa wanadamu wamepinda, pia maumbo mengine kimeo.

No comments:

Post a Comment