KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Monday, March 30, 2009

Charlie Chaplin


Charlie Chaplin


Kwa dunia ya leo hakuna mpenda sinema za kuchekesha asiyemjua huyu gwiji wa vituko


Mr chaplin, akitumia teknolojia dhaifu ya picha za rangi moja na bila kutumia sauti jamaa aliweza kukonga nyoyo za watu kibao kwenye miaka ya 1950’s na kuendelea mpaka leo hii hakuna mwigizaji aliyeweza fikia kipaji chake licha ya kuwepo na teknolojia la khali ya juu katika upigaji wa picha za sinema! Hapo ndio utakapokuja jua ya kwamba kipaji ni hazina nadra sana duniani. Wadau wote wenye vipaji msisite kutumia vipaji vyenu kwani huwezi jua waweza weka historia katika uso huu wa dunia

No comments:

Post a Comment