KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Thursday, January 19, 2012

UTAMU WA MWANAMKE MAISHANI

UTAMU WA MWANAMKE MAISHANIUTAMU WAMWANAMKE UNATOKANA NA UHALISIA WA MATENDO YAKE NA MANENO YAKE. KAWAIDA YA UTULIVU, UNATOKANA NA AMANI ILIOPO NDANI YA NAFSI HUSIKA. UNAPOINGIA KATIKA PENZI, UNAHITAJI KUWA NA NIA SAHIHI YA KUPENDA. MAPENZI YANA MFUMO WA KUJARIBU. UKIJARIBU KUPENDA, UNATAKIWA UWEZE NA ELIMU YA KUTOSHA JUU YA HISIA YA YULE UMPENDAE.
UMUHIMU WA KUPENDA MAISHANI
UMUHIMU WA JAMBO UNATOKANA NA FAIDA YAKE. UKIPENDA KISHA UKAPENDEKA UTAKUWA NA NAFASI NZURI YA KUJENGA UHUSIANO IMARA.


FAIDA YA KUPENDA MAISHANI
KUTOKANA NA KUWA KUPENDA NDIO MSINGI WA MAHABA, BINADAMU NAYE HUJIKUTA KATIKA FUMO WA KUPENDA NA KUPENDWA. UNAWEZA KUMPENDA MME/ MKE LAKINI KWA UPANDE WAKE AKAWA HAKUPENDI. TATIZO HILO LINATOKANA NA UPUNGUFU WA MAPENZI YA MOYO WA MTU HUSIKA.
UKIPENDA NA UKAPENDEKA MAISHANI, UTAJENGA NJIA IITWAYO KUPENDANA NA KUIMARISHA UHUSIANO WETU KATIKA NJIA YA MAPENZI.

ZAWADI YA PENZI MAISHANIZAWADI NI KITULIZO CHA MOYO. KILA BINADAMU ANAPENDA ZAWADI LAKI SIKILA MTU MWENYE UWEZO WA KUTOA ZAWADI MARA KWA MARA. ZAWADI YA MAHABA INAWEZA
KUWA:
BUSU AMA KUPUSIWA , KUPAPASA AU KUPAPASWA , NDOA AMA , KUTOA AU KUPEWA ,TENDO LA NDOA, KUCHANGIA CHAKULA AU KINYWAJI AU MAZUNGUMZO NA MARANYINGINE SAFARI YA PAMOJA.

LADAHA YA MWANAMKE:
LADHA YA MWANAMKE NDIO INAYOMWEZESHA MWANAUME KUCHANGAMKA NA KUFANYA MAMBO KWA KUJIAMINI. KUTOKANA NA MWANAMKE KUWA NA MAWAZO YENYE MFUMO WA KIKE, BASI MWANAUME HUPATA MAMBO MENGI NA YENYE MAWAZO MAZURI. MWANAUME ANAPENDA ZAWADI YENYE KUTOKANA NA JINSIA TOFAUTI. MWANAMKE ANAWEZA KUKUPA ZAWADI AMBAYO INAENDANA NA SHIDA (SOKSI, SHATI, KIATU, CHAKULA, USHAURI………NA MSAADA WA HARAKA ZAIDI YA MWANAUME. MWANAUME HUTUMIA MUDA MWINGI KATIKA KUTAFAKARI JIBU LAKINI MWANAMKE MARANYINGI HUWA MWEPESI KATIKA MAAMUZI. NDIO MAANA UKIMPATA MWANAMKE RAFIKI, MKE, NDUGU, JAMAA WA KARIBU ATAKUFANYA UWEZE KUWA NA UPEO WENYE NGUVU YA MUUNGANO. KUUNGANA KWENU KUTAWAFANYA KUWA IMARA KATIKA MANENO NA MATENDO.
UKIWEZA KUFANIKISHA JAMBO HILI UTAKUWA NA UWEZO WA KUHISI UTAMU WA MWANAMKE MAISHANI.

IMEANDIKA NA ISMAIL (ISMADO)

CONTACT: 0713651755

No comments:

Post a Comment