KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Friday, March 11, 2011

Jumuiya ya kimataifa yapinga vita Libya.

Waziri wa mambo ya Nchi za Nje wa Italia Franco Frattini
ameondoa uwezekano wa kujiingiza kijeshi nchini Libya kwa kusema kuwa jumuiya ya kimataifa haitaki vita.

Taarifa hiyo ya Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Italia imekuja siku moja baada ya Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Ujerumani Guido Westerwelle
kusema kuwa nchi yake haitaki kuingizwa katika vita Afrika kaskazini.

Wakati huohuo, Majeshi yanayoongozwa na kiongozi wa Libya Muammar Gaddafi yameanza kushambulia mji unaoshikiliwa na ya waasi wa Misrata.









Mfalme wa Japan ahutubia taifa







Mfalme wa Japan Akihito amelihutubia taifa, jambo ambalo ni nadra kwake akisema, anawaombea usalama watu wake kufuatia tetemeko la ardhi na Tsunami iliyokumba nchi hiyo wiki iliyopita na kusababisha vifo vya zaidi watu 11,000, ambapo kati ya 3,676 wakithibitishwa kuwa ndio wamekufa.

Ameelezea wasi wasi mkubwa kuhusiana na hali ambayo haikutarajiwa katika kinu namba moja cha mtambo wa nyuklia wa Fukushima, ambacho kimeathirika kutokana na mripuko uliotokea baada ya tetemeko la ardhi.

Juhudi za dharura zinazochukuliwa katika mtambo wa nyuklia wa Fukushuma zimesitishwa kwa muda leo, wakati wafanyakazi wake walipokuwa wakiondolewa kwa dharura kutokana na kuongezeka kwa hatari ya mionzi ya nyuklia baada ya kulipuka upya kwa moto katika kinu cha tatu na cha nne, kama anavyoelezea zaidi msemaji wa serikali ya Japan Yukio Edano.

Wakati huohuo msukosuko wa mahitaji muhimu unazidi, kutokana na kuwepo kwa uhaba wa chakula na maji katika kuwasambazia maelfu ya watu ambao wamepoteza makaazi yao.

Serikali ya Japan imesema leo kwamba huenda ikaomba msaada wa jeshi la Marekani kukabiliana kitisho cna kinyuklia kinachoikabili nchi hiyo







Vinu bado vimoto Japan




Kinu nambari 4 cha Fukushima Dai-ichi .Moto mwingine umezuka katika kinu nambari 4 cha Fukushima nchini Japan hii leo Jumatano.

Wataalamu wa kampuni inayokisimamia


Wataalamu wa kampuni inayokisimamia kinu hicho, Tokyo Electric Power, wanasema vyuma vya mafuta katika eneo la kupoesha la kinu nambari 4 cha Fukushima kilichoathiriwa na tetemeko la ardhi lililotokea nchini Japan, huenda vikawa wazi kutokana na moto huo na vikatowa miale zaidi ya nyuklia hewani.

Hapo jana maafisa wa serikali nchini humo waliwaomba wakaazi waliopo umbali wa kilomita 30 kutoka kwenye kinu hicho, wahame au wajifungie ndani baada ya viwango vyenye athari vya miale hiyo ya nyuklia, kugunduliwa, kufuatia miripuko katika vinu nambari 1 na 4.

Janga lililopo Japan limesababisha kushuka kwa masoko ya hisa kote ulimwenguni, huku faharasha ya Nikkei ya Japan ikishuka kwa kiwango kikubwa tangu mwaka 2008 na DAX ya Frankfurt ikishuka kwa asilimia 3. Wakati huohuo hapo jana matetemeko mengine madogo ya ardhi yalidhihirika mashariki mwa nchi hiyo, siku nne baada ya eneo hilo kuathirika na tetemeko kubwa la ardhi lenye viwango vya magnitudi 9.0, na kusababisha kutokea tsunami.
Wafanyakazi wa kampuni inayosimamia vinu vya nyuklia Japan, Tokyo Electric Power.
Idadi ya watu waliofariki inatarajiwa kuzidi watu 10,000, huku maafisa wa uokowaji wakiendelea kutafuta maiti.






Maelfu waikimbia mionzi ya nyuklia Japan





Athari za tetemeko la ardhi na tsunami nchini Japan Maelfu ya watu hivi wanakimbia nchini Japan kwa lengo la kunusuru maisha yao kufuatia balaa la kuvuja kwa mionzi ya nyuklia baada kuripuka kwa vinu vya nyuklia huko Fukushima Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo.

Wakati mwingine msiba unakua neema kwa wauza majeneza,katika suala kukimbia Japan mashirika madogo madogo ya ndege yamekuwa yakineemekea kwa hivi sasa kwa kupata idadi kubwa ya abiria kuliko kawaida.

Tathmini ya sasa inaonesha kuwa mahitaji ya kubeba abiria kwa wasafirishaji hao imeongezeka huku bei ya safari nayo ikiwa imepandishwa

Lakini pamoja na wasafiri binafsi, makampuni ya kimataifa nchini Japan wamekuwa wateja wakubwa wanaosafirisha wafanyakazi wao waliopo katika jiji la Tokyo pamoja na maeneo ya karibu kutokana na kitisho cha mionzi.

Waokoaji wakitafuta miili ya walofariki kutokana na tetemeko na tsunamiWengi wa wasafiri hao wanakimbilia katika maeneo ya Hong Kong, Taiwan, Korea Kusini, Australia pamoja na Marekani katika kipindi hiki ambacho ambacho hata baadhi ya viwanda vimesitisha uzalishaji kutokana zahama ya tetemeko na tsunami iliyotokea ijumaa iliyopita.

Msafirishi mmoja wa kampuni ya binafsi ya ndege ya China Jackie Wu amenukuliwa akisema amepata kazi ya kusafirisha abiria 14 kutoka Tokyo na kuongeza kuwa abiria hao kwa sasa hawajali kabisa kuhusu kiwango cha nauli ambacho kimeongezeka mara dufu.

Msafirishaji mwingine, Mike Walsh, amesema mahitaji ya wateja waliyopo Tokyo na hasa wanaotaka kwenda Hong Kong inazidi uwezo wao wa kusafirisha.

Mike, ambae ni mkuu wa kampuni binafsi ya ndege katika maeneo ya bara la Asia, amesema kwa leo hii (16-03-2011) pekee wanashughulika na abiria zaidi ya 1000 wanaotaka kuokolewa kutoka Tokyo.

Mapema leo mfalme wa Akihito wa Japan amejitokeza hadharani na kuzungumza na wananchi kupitia vyombo vya habari lakini safari hii alionesha dhahiri kama maji basi yamefika yamefika shingoni.

#b#Mfalme huyo, akiwa na sura yenye majonzi, amesema yupo katika ibada ya kuwaombea manusura wa tetemeko na tsunami pamoja na zahama ya kuvuja kwa nyuklia.

Mfalme Akihito, mwenye umri wa miaka 77, amekiri kwamba mkasa huu wa sasa ni mkubwa na kwamba mpaka sasa Japan haijui idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na tukio hilo la Machi 11.

Kazi ya uokaji inaendelea ambapo, pamoja na mambo mengine, inachagizwa na uhaba wa umeme huku kitisho cha mionzi ya nyuklia iliyosambaa hewani.

Idadi ya wanaokisiwa kupoteza maisha kutokana balaa hilo mpaka sasa ni 11,000 ambapo watu 3,676 wamethibitishwa kufariki dunia.










Jeshi lawashambulia waandamanaji Bahrain



Watu watatu wameuwawa baada ya polisi kuwafyatulia risasi waandamanaji Bahrain.




Uwanja wa Pearl, Manama


Jeshi nalo limetangaza kuwekwa kwa amri ya kutotoka nje katika maeneo kadhaa ya mji mkuu Manama.

Amri hiyo itatekelezwa kuanzia saa kumi jioni hadi saa kumi alfajiri.

Wakati huohuo, harakati za kijeshi zinaendelea ili kudhibiti eneo la Pearl kutoka kwa waandamanaji waliopiga kambi hapo kwa majumaa kadhaa.

Vitoa machozi vimerushwa na kumekuwa na ripoti za milio ya risasi katika maeneo ya mji huo.

Kiongozi wa upinzani ameiambia BBC kuwa kumekuwa na mamia ya majeruhi na vifo vya watu watano.

Mapema madaktari waliiambia BBC kwamba vikosi vya kijeshi vilikuwa vikiwazuia kutibu watu waliokuwa wamejeruhiwa.




http://www.theglobeandmail.com/news/video/raw-video-gulf-troops-enter-bahrain/article1942600/




Tens of thousands of Bahraini anti-government protesters march to the Pearl roundabout in Manama, Bahrain, on Friday. (AP)

By AGENCIES

Published: Feb 26, 2011 01:18 Updated: Feb 26, 2011 01:25

MANAMA: Bahrain’s King Hamad bin Isa Al-Khalifa sacked three ministers who “caused crisis” after the latest unrest, Al Jazeera television said Friday, quoting an unnamed official source. The Arab satellite channel did not provide further details.

Earlier, tens of thousands of anti-government protesters filled Bahrain’s capital in an attempt to boost pressure for sweeping political concessions before possible talks to end nearly two weeks of demonstrations and clashes in the country.

At least two major processions sought to converge on Manama’s landmark Pearl Square, which has become the focal point of the uprising pushing for democratic change.

Security forces made no immediate attempt to halt the marchers in an apparent sign that Bahrain’s rulers do not want to risk more bloodshed and denunciations from their Western allies.

Bahrain is the first Gulf state to be thrown into turmoil by the Arab world’s wave of change. The unrest is highly significant for Washington because Bahrain sits at the center of its military framework in the region. There is much at stake, too, for the Gulf’s ruling clans seeking to maintain their grip on power and efforts to keep Iranian influence in check.

Bahrain is home to the US Navy’s 5th Fleet, which is the Pentagon’s main counterweight against Iran’s widening military ambitions.

The government had declared Friday a day of mourning for the seven people killed in clashes since Feb. 14.

Many protesters waved Bahrain’s red-and-white flag. Among the chants: “No dialogue before the government is dissolved” and “For Bahrain’s future, we are not afraid to be killed.” One procession — split into separate groups of men and black-robed women — passed skyscrapers adorned with images of the nation’s ruling family.

The marches followed a sermon by a senior Shiite cleric who said that any dialogue between anti-government protesters and the kingdom’s rulers must lead to clear reforms and changes.

In the sermon at a Shiite village mosque in the anti-government hotbed of Diraz, Imam Isa Qassim called for talks that are “clear, comprehensive and productive.” He said demonstrators want guarantees on what would be accomplished by the talks.

“We don’t want dialogue for the sake of dialogue, we don’t want dialogue to waste time or to absorb anger,” Qassim told worshippers. “We want a meaningful, viable and sustainable process. ... We seek a fundamental change to the current political process based on legitimate demands.”

Bahrain’s Sunni rulers have offered to talk with Shiite opposition groups to try to defuse the showdown, but the opposition has been slow to answer the call.

The opposition appears split in its aims, with some seeking greater democratic reforms, including the removal of the long-serving prime minister — the king’s uncle.

Others, however, are demanding the ouster of the ruling regime altogether.

Scores of anti-government protesters knelt down under the hot midday sun for Friday prayers in Pearl Square.

Surrounding them were dozens of tents and makeshift food stalls that have been set up by protesters intent on fortifying their position. Anti-government graffiti has been spray-painted on a towering monument to Bahrain’s heritage as a pearl-diving center the dominates square as well as nearby walls — a rare sight in the heavily policed Gulf.

No comments:

Post a Comment