KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Wednesday, January 12, 2011

Aibu, mkewe apewa pole na wengi


MWANAUME mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka kati ya 34-35 alipata aibu ya mwaka baada ya kuadhirika ndani ya daladala kwa kile kilichodaiwa ni matamanio yaliyomshika na kushindwa kujizuia.
Mwanaume huyo alijikuta akiadhirika ndani ya daladala linalofanya safari zake Tandika Gongolamboto kwa kuweza kujichafua kwa kujimwagia manii na kuchafua suruali yake aliyoivaa.

Hali hiyo ilijitokeza jana majira ya jioni ndani ya usafiri aina ya daladala baada ya msichana aliyekuwa mbele ya mwanaume huyo kushwangazwa kuona ameloweshwa na alipojichunguza alibaini alikuwa amechafuliwa na mwanaume huyo.

Mwanamke huyo alianza kumshambulia kwa maneno machafu na ndipo watu walipogundua kuwa aliyefanya uchafu huo ni mwanaume huyo kwa kushindwa kujizuia kutokana na kugusana na mwanamke huyo katika usafiri huo.

Hivyo baadhi ya watu walimsihi mwanaume huyo kuwa kitendo alichokifanya si kizuri huku wengine wakimtaka asiwe nakaribiana na akina dada kwa kuwa alikuwa hana uvumilivu pindi anapokaribiana nao.

MWanaume huyo aliona aibu ndani ya basi hilo kwa kuwa aliweza kulowa maeneo ya mbele ya suruali yake na alishindwa kujizuia na alishuka kituo kinachofuata baada ya kugundulika


Hata hivyo dada huyo alitaka amng'anga'anie ampelekea kituo cha polisi lakini watu walimsihi asifanye hivyo kwani ilikuwa bahati mbaya aliweza kutetewa na baadhi ya wanaume ndani ya daladala hilo

No comments:

Post a Comment