KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Thursday, December 30, 2010

Ziro yamsababisha atoweke nyumbani kwao


JENIFFER SAMSON [18] muhitimu katika shule moja ya kata jijini Dar es Salaam, amelazimika atoweke nyumbani kwao mwanzoni mwa wiki hii toka alipopata matokeo yake ya kidato cha nne yaliyoonyesha amefeli mitihani hiyo.
Chanzo cha habari hii kilisema msichana huyo alitoweka nyumbani hapo kwa kuhofia wazazi wake waliomtahadharisha juu ya mitihani hiyo na walimuahidi akifeli atampa adhabu kali.

Hivyo imedaiwa kuwa Jennifer hadi kufikia jana jioni alikuwa haijafahamika alikuwa wapi kutokana na hofu hiyo ya aibu

No comments:

Post a Comment