KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Monday, November 8, 2010

Waandishi wa habari wa BBC wamekuwa wakirejea kazini baada ya mgomo wao wa saa 48Wafanyakazi wa BBC walipogomaWaandishi wa habari wa BBC wamekuwa wakirejea kazini baada ya mgomo wao wa saa 48.


Wajumbe wa Chama cha Waandishi wa Habari cha taifa walikuwa wakipinga marekebisho ya malipo ya uzeeni ya wafanyakazi.

Baadhi ya vipindi vya BBC viliathirika kutokana na mgomo huo.

Chama wa waandishi wa habari kinapanga mgomo mwingine wa saa 48, unaotarajiwa kuanza tarehe 15 mwezi huu Novemba

No comments:

Post a Comment