KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Thursday, August 26, 2010

Kipindupindu yasababisha maafa Nigeria


Wizara ya afya nchini Nigeria, imeonya kutokea mlipuko wa kipindupindu huku watu 150 wakifariki dunia kutokana na maradhi hayo.

visa vya kipindupindu vimeripotiwa katika majimbo kumi na mbili kati ya majimbo thelathini na sita nchini humo.

Wizara ya afya imesema maradhi hayo yamesababishwa na mvua kubwa inayoendelea kunyesha na ukosefu wa maji safi ya kunya na vyoo

No comments:

Post a Comment