KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Saturday, May 8, 2010

LOVE YOUR BODY STAY FIT MAISHANI


SIKU ZOTE HUWA NASEMA MUONEKANO WA MTU NDIO MSINGI WAKE WA MAISHA. HAKUNA KITU KIZURI MAISHANI KAMA KUJALI AFYA YAKO KIMWILI NA KIROHO.

MAVAZI YANA AINA NYINGI MAISHANI. MOJA WAPO NI KUVAA ILIMRADI UMEVAA AU KUVA ILI UJISITIRI KATIKA MFUMO WA KUPENDEZA. KUPENDEZA KWA MTU KUNAMFANYA AWEZE KUWA NA MSIMAMO WENYE UKUTA WA UTULIVU WA MOYO NA VILEVILE KUJIHISI VIZURI ANAPOKUWA NAWATU WENGINE.


MAVAZI YANAWEZA KUSHUSHA AU KUPANDISHA HESHIMA YA MTU HUSIKA MAISHANI. NIVYEMA KILA MMOJA KUVAA MAVAZI AMBAYO HAYAMPI WASIWASI ANAPOKUWA AMEAVAA KATIKA JAMII.

No comments:

Post a Comment