KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Saturday, May 22, 2010

Gharama za huduma za simu zazidi kupungua


KAMPUNI ya Simu za mkononi Tigo imezindua huduma mpya ambayo imepunguza gharama zake na sasa unaweza kupiga simu kwa nusu shilingi kwa sekunde
Huduma hiyo imezinduliwea juzi jijini Dar es Salaam inayojulikana kama Tigo thumuni na kuzidi kuboreshsa huduma hiyo ambayo inaleta faraja wka watumiaji wea mtandao huo nchini.

Awali kampuni hiyo pekee ilikuwa inachaji shilingi moja kwa sekunde kwa mteja wa Tigo akimpigia mteja mwenzake wa Tigo kwa hiyo ilikuwa ni shilingi 60 kwa dakika.

Huduma hiyo ya nusu shilingi imekuja siku mbili tu baada ya kampuni ya Vodacom Tanzania kushusha gharama kwa wateja wake kuwawewezesha kupiga simu kwa shilingi moja kwa sekunde.

No comments:

Post a Comment