KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Tuesday, April 27, 2010

Viongozi wa kundi la Al Shabaab washambuliwa

Viongozi mashuhuri wa Kundi la wapiganaji wa Al Shabaab, wamejeruhiwa kwenye shambulio Kusini mwa nchi hiyo.

Duru zinasema kundi hilo la viongozi lilishambuliwa kwa grunedi. Hakuna ripoti yoyote ya maafa imeripotiwa.Saba kati yao walijeruhiwa vibaya wakati wa shambulio hilo lililotokea katika mji wa Densor..

Kufikia sasa hakuna kundi lolote ambalo limedai kutekeleza shambulio hilo.

No comments:

Post a Comment