KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Friday, January 22, 2010

Upinzani wapinga katiba mpya Angola


Chama kikuu cha upinzani nchini Angola UNITA kimepinga katiba mpya inayopinga uchaguzi wa rais moja kwa moja na raia.
Mkuu wa chama hicho Isias Samakuva amesema kuwa chama chake kilisusia kura ya hapo jana bungeni kwa imani kuwa katiba hiyo inahujumu demokrasia ya nchi hiyo.

Bwana Samakuva ameambia BBC kuwa hakupata majibu yoyote kutoka kwa mkuu wa sheria au mahakama ya kikatiba juu ya pingamizi lake kwa katiba hiyo mpya.

No comments:

Post a Comment