KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Friday, January 22, 2010

Mjumbe wa Marekani katika Mashariki ya Kati George Mitchel anatarajiwa kusafiri Gaza


Ajenda ya amani Mashariki ya Kati

Mjumbe wa Marekani katika Mashariki ya Kati George Mitchel anatarajiwa kusafiri Gaza hii leo kukutana na rais wa Palestina Mahmud Abbas.

Ziara ya bwana Mitchell ilianza hapo jana mjini Jerusalem ambapo alikutana na waziri mkuu wa Israel katika juhudi za kukwamua mazungumzo ya amani yaliyokwama.


Wadadisi hata hivyo wamesema kuwa juhudi za bwana Mitchel zinahujumiwa na matamshi ya hivi punde ya Netanyahu kuwa hata baada ya kupewa uhuru wa Palestina, wataendelea kuthibiti maeneo ya mipaka katika ukingo wa magharibi.

No comments:

Post a Comment