KARIBU MAISHANI
KARIBU MAISHANI
Monday, July 20, 2009
NGUVU YA NAFSI YA MICHAEL JACKSON KATIKA MANENO NA VITENDO IMEONESHA USHUJA WAKE.
NGUVU YA NAFSI YA MICHAEL JACKSON KATIKA MANENO NA VITENDO IMEONESHA USHUJA WAKE.
KWA MTAZAMO WA KAWAIDA BAADHI YA WATU WANAWEZA KUONA KWAMBA MICHAEL JACKSON ALIKUWA NI MTU MWENYE NGUVU YA KAWAIDA MAISHANI MWAKE.
MICHAEL JACKSON ALIKUWA NA NGUVU ZA AKILI NA MWILI KATIKA KAZI ZAKE. UTEKELEZAJI WA KAZI ZA MANENO NA MATENDO YA MICHAEL JACKSON, ULIKUWA NI WENYE KUWA KUSHANGAZA WATU WENGI NA KUACHA WENGINE KATIKA FIKIRA TOFAUTI.
MICHAEL JACKSON NAFSI YAKE ILIKUWA IKITUMIA SANA SILAHA YA FURAHA, NA NDIO ILIOKUWA KINGA YAKE KUBWA MAISHANI MWAKE.
MICHAEL JACKSON ALIWEZA KUTENGENEZA MANENO NA AKAJITAHIDI KWA KIASI KIKUBWA KUWEKA MANENO YAKE KATIKA NJIA YA MATENDO, AKAWEZA KUPATA WAPEZI WENYGI WA MANENO NA VITENDO KATIKA MSINGI WA KUWARIDHISHA WAFUASI WAKE.
MICHAEL JACKSON ALIWEZA KUFANYA MAMBO MENGI YENYE MVUTO KATIKA MANENO NA VITENDO NA AKAWEZA KUWAVUTIA WATU WENGI SANA KATIKA ULIMWENGU WA MZIKI.
MICHAEL JACKSON ALIWEZA KUISHI KATIKA MAISHA YA MCHANGANYIKO WA WATU NA VITU.
MICHAEL JACKSON ALIWEZA KUBADILI MWILI WAKE KAMA ANAVYO FIKIRIA YEYE NA AKAWEZA KUUMUDU MWILI WAKE MPAKA MWISHO WA MAISHA YAKE.
MICHAEL JACKSON ALIWEZA KUISHI MAISHA AMBAYO YANAMSHANGAZA KILA MWENYE KUYASIKIA AU KUYATAZAMA KWENYE LUNINGA.
MICHAEL JACKSON ALIWEZA KUKOMBOA MAISHA YAKE KUTOKA KWENYE HALI YA UMASIKINI NA KUINGIA KWENYE HALI YA MAISHA MAKUBWA NAYA KIFAHARI.
MICHAEL JACKSON ALIJITUMA KATIKA KUONYESHA FIKIRA ZAKE KATIKA MITINDO TOFAUTI MOJA WAPO NI MAZIARA,MIZIKI YA AINA TOFAUTI, MTOA MISAADA KWA JAMII, MFANYA BIASHARA, MLEZI WA WATOTO YATIMA, MUAJIRI NA MWISHOWE KUBADILISHA IMANI YAKE NA KUAMUA KUINGIA KATIKA DINI AMBAYO ANAONA NICHAGUO LA MWISHO WA MAISHA YAKE.
UHAI WA MICHAEL JACKSON UMEISHIA KATIKA DINI YA KIISLAMU, KAMA CHAGUO LA MOYO WAKE.
MICHAEL JACKSON ALIWEZA KUPOTEZA RANGI YA NGOZI YAKE MOJA KWA MOJA , AMEONDOKA AKIWA AMEACHA MBEGU ( WATOTO ) WENYE RANGI NYEUPE, HATA KAMA WATOTO WKE WANAAMINI YA KWAMBA NI WATOTO WENYE DAMU YA KIAFRIKA, LAKINI HAWANA RANGI YA KIAFRIKA.
MICHAEL JACKSON ALIWEZA KUONDOA NGOZI NYEUSI KATIKA MWILI WAKE NA KILICHO BAKI NI NAFSI YENYE ASILI YA KIAFRIKA.
LICHA YA MICHAEL JACKSON KUONDOA RANGI NYEUSI YA NGOZI YAKE, ALIONDOA PIA RANGI HIYO KATIKA FAMILIA YAKE, KWA SABABU MICHAEL JACKSON HAJAACHA MTOTO HATA MMOJA MWENYE RANGI NYEUSI.
MICHAEL JACKSON ALIACHA WAZUNGU WENYE NAFSI ZA KIAFRIKA AU ALIACHA WAAFRIKA WENYE NGOZI NYEUPE. BADILIKO LA NGOZI YA MICHAEL JACKSON, LILIFANYIKA HOSPITAL KATIKA IDARA YA WATALAMU WA KUBADILI NGOZI, MAISHA YA KUBADILISHA NGOZI YA MICHAEL JACKSON YALIKUWA NIYENYE KUHITAJI UTUNZAJI WA HALI YAJU NA MISINGI BORA KATIKA CHAKULA HEWA YA KUPUMUA NA MAZINGIRA MAZURI MAISHANI MWAKE.
KUHUSU WATOTO NA NGOZI NYEUPE, ALIWEZA KUWAZALISHA WANAWAKE WENYE NGOZI NYEUPE NA WATOTO WAKE WAKARITHI NGOZI NYEUPE.
MICHAEL JACKSON ALIWEZA KUWALEA WATOTO WAKE KATIKA MAZINGIRA YA UPENDO NA AKAWEZA KUWALEA KATIKA MFUMO AMBAO YEYE KAMA BABA ANAUHITAJI. WATOTO WAKE WAKAWA TAYARI KATIKA VITENDO NA MANENO. UKIANGALIA BAADHI YA PICHA ZA WATOTO WA MICHAEL JACKSON, UTAONA SIO WATOTO WENYE UHURU WA KUTEMBEA MBALI YA BABA YAO WANAPOKUWA PAMOJA BALI UTAKUTA MARANYINGI AMEWASHIKA AU AMEMSHIKA MKONO ( WAKO KARIBU ).
HII SIO TABIA NGENI MAISHANI MWA MICHAEL JACKSON. MICHAEL JACKSON ALIKUWA AKIPENDA KUWA SANA KARIBU NAKILA MTU MWENYE SHUGHULI NAYE.
MICHAEL JACKSON ALIWEZA KUONESHA KWAMBA ANAWEZA KUTUMU KATIKA VIPAJI VYAKE ( MZIKI, UTUNZI WA MASHAIRI, BIASHARA, MISAADA , ZIARA ,MLEZI …...N.K, NA KILA UPANDE WA KIPAJI UKIWA NA WASHABIKI WAKE WAKIWA WANASUBIRI VITU VIPIA KUTOKA KWAKE. NDIO MAANA KUMBU KUMBU ZA MICHAEL JACKSON HAZIJA CHUKUA NAFASI YA MZIKI TU, BALI NAFASI ZOTE ZA VIPAJI VYAKE.
MICHAEL JACKSON AMEONDOKA NA NAMBA MIA 100 ( MIAKA HAMSINI 50 YEARS NA TAMASHA HAMSINI ZILIZO KUWA ZIKIMSUBIRI ).
KIFO CHA MICHAEL JACKSON KIMEKUWA NI CHENYE MANUFAA KWA BAADHI YA WAFANYABIASHARA NA KUWA MASIKITIKO KWA WAPENZI WAKE.
KIFO CHA MICHAEL JACKSON KILIWEZA KUDHIBITI VYOMBO VYA HABARI VIKUBWA NA VITOGO KWA MDA WA SIKU KADHA.
KIFO CHA MICHAEL JACKSON KILIWEZA KUCHUKUWA MDA MKUBWA KWA BAADHI YA WATU WAKISHANGAA MAANDALIZI,MAVAZI, HIFADHI YA MAITI YAKE, CHANZO CHA KIFO CHAKE, MALI YAKE , WATOTO WAKE, PESA YAKE……..N.K.
KIFO CHA MICHAEL JACKSON KIMEACHA GUMZO NA MSHANGAO KATIKA DUNIA YA VIFO VINGI VYA WATU, VITA,MAGONJWA YA KILA AINA , MIZOZO YA SIASA NA MABADILIKO YA HALI YA UCHUMI DUNIANI NA NCHI KUBWA ( MAREKANI ) DUNIA KUONGOZWA NA RAISI MWENYE NGOZI NYEUSI NA MARA YA KWANZA KOMBE LADUNIA LINATAZAMIWA KUSHINDANIWA KATIKA BARA LA AFRIKA.
HII NI KARNE YENYE MIUJIZA MIKUBWA KATIKA MABADILIKO YA UTAWALA, MICHEZO, BIASHARA NA MAPINDUZI YA FIKIRA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment