Usafiri wa DalaDala
Kutana na adha za shida ya usafiri wa daladala hapa kwetu Bongo, yaani gari mmoja ila abiria ni wengi, kisha watu wote kwa wakati mmoja wanataka kuingia kwenye gari la mlango mmoja, matokeo yake wanakwama mlangoni. Je hii ni busara ama uelevu? Nadhani kwa maendeleo ya sasa tunahitaji usafiri dhabiti ili kila mtu aweze safiri kwa raha mustarehe, kwani vyombo vya usafiri havipaswi kuwasehemu ya kubanana mbavu. Nawapa pole wadau wote wakao sehemu za mbali kama vile mbagala, vingunguti,Gongolamboto na pengineo kwani wanajua hadha ya usafiri wa Bongo!
No comments:
Post a Comment