KARIBU MAISHANI
KARIBU MAISHANI
Thursday, April 2, 2009
Obama na Joe Biden
Kazi imeanza kwa raisi wa marekani Barack Obama kuelekea kutawala dunia yetu hii! hivi sasa wanajifua kwa juhudi zote kama unavyowaona ili kumbambana na changamoto mbalimbali za dunia yetu! sijui afrika na Tanzania tutakumbukwa jameni kwani jinsi tulivyomchangamkia Obama hawezi kutuangusha kwa kweli. wenzetu wa Asia wameshapata mwakilishi bibie Hilary Clinton! Afrika kaeni tayari
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment