Jogoo wa karne ijayo!
Wadau je umemuona jamii ya jogoo ambao inaaminika wanatoka katika uzao wa dinosourus! sasa ebu fikiri itakapokuwa katika khali hii je tutaweza kuwachinja na kuwala kama kawa? hapo waweza ona kuwa muda wa kuwala hawa kuku unakaribia kwisha! wadau mpo? itabidi uharakishe ulaji wako wa kuku ili wakiwa hivyo unaachana nao na kula nyama nyingine! leteni maoni yenu!
No comments:
Post a Comment