Ona hawa wakina dada wa USA wanavyojinyima chakula na kuwa vituko vya karne ili tu kuaharibu taswila ya mwanamke inavyopaswa iwe! hao ni Nicole Richie na Lindsay Rohan mmoja kati ya watoto muruhani wa kimarekani! Dada zangu ebu msifuate mkondo huu potofu kuleni kwa biddi na jalini afya zenu.
No comments:
Post a Comment