Huku tukiwa katika harakati za utandawazi, wenzetu wako mbali kwani kuanzia mtoto anapoanza tambaa tayari anapata mambo ya mitandao! Hivi kwetu mpaka ukue kisha umalize masomo ndio ukutane na kifaa muhimu kama computer! je watoto wetu wataweza kushindana na watoto wa wenzetu! je maadili ya watoto kama hawa yanaweza kuwaje! maana ndani ya mambo ya utawandazi kuna mambo kibao yasio na maadili! sijui kama wanachaguliwa nini cha kuangalia! Inabidi kwa sasa nasi tujifunge lubega ili watoto wetu wapate elimu safi na salama ili waweze kupambana na utandawazi huu wa dunia ya leo!
No comments:
Post a Comment