Kesho ni tarehe 07/4/2009 ni siku ya kumbukumbu ya Mheshimiwa Sheik Abeid Karume(mwenye suti katika picha ya hapo juu akiwa na wanamapinduzi wenzake) Baba na Mwanamapinduzi wa Zanzibar aliyepigana na wavamizi wa Kiarabu mpaka Zanzibar ikawa huru! Hongera sana kwa wote walioshiriki katika mapinduzi! Firka zenu zitadumu milele! Nawatakia wadau wote Mapumziko mazuri!
No comments:
Post a Comment