Hivi ingelikuwa wewe upo hapo na vitita kama hivyo vya pesa ya kimarekani umeshinda umepewa zimekuwa zako! je ungefanya nini! ungekuwa unafikiria nini! ungewafanyia nini wazazi wako na nduguzo! ungewafanyia nini watanzania wenzako! ungemfanyia nini Mola wako! Je ungeheshimu watu kwa jinsi walivyo! ungekula ugali tena! ungepanda bajaj! ebu jaribu kutafakari ungefanya nini kisha nitumie maoni yako mpenzi mdau wangu wa maishani!
No comments:
Post a Comment