Hebu wadau nipeni maoni yenu, si mnajua rasta! na si mnajua manywele! huyu jamaa ana rasta ama manywele! Mzee wetu huyu anapatikana hapo Kenya na aliapa kwamba Raila akishinda uraisi angenyoa ! sasa jamaa kapata uwaziri mkuu sijui atapunguza? hivi huyu nae analalaje na nywele zote hizo! anazifanyiaje usafi! kuna mambo ya ajabu ndani ya maisha ya kila mwanadamu na ni jukumu letu kujulishana na kuelimishana maishani
No comments:
Post a Comment