KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Monday, April 6, 2009

Macho hayana Pazia

Hivi macho yangelikuwa yanachukua sijui kingebaki nini hapa dunia! pamoja na hatari zote za maradhi na mambo mengine ya hatari bado macho ya vijana zetu ni makali kama pilipili! Huku wakina dada wakiwa wanatumia hazina zao za faragha kututia majaribu vijana wetu wanakuwa majaribuni sana kujizuia na matamanio ya macho yao! sasa ebu fikiri je dada angekua amevaa hijabu wangemcheki kivile! enyi vijana wenzetu kuweni makini na macho yenu kwani yanweza kuwapotosha na kuwaponza mkashindwa kujafanya maamuzi ya busara maishani!

No comments:

Post a Comment