Shetani anapotawala akili zako
Wadau katika mambo ya kuepuka basi epuka akili yako kutawalia na mawazo yasiyona maana, ebu ona mtu mzima na ukubwa wake anavyofikiri kuhusu huu ugonjwa hatari wa ukimwi!
Hii ni balaa ukizingatia elimu ilikwisha tolewa kuhusu janga hili. Nikiwa kama mwanajamii kutumia blogu hii ya maishani nakemea na kulaani fikra butu na potofu kama hizi!
Kwa pamoja tupige vita gonjwa hili pia tupige vita fikra mbovu na zisizo na msingi wowote wa maana!
Tanzania Bila Ukimwi! Inawezekana!
No comments:
Post a Comment