KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Saturday, April 4, 2009

Buriani Dada shenazi


Huyu ni dada aliyekuwa machachari kweli! Kwanza alikuwa mshereheshaji mzuri sana kwenye harusi na Shughuli mbalimbali! Ukienda kwenye taarabu, mduara,harusi na kitchen party humkosi mdada huyu! Kwa kweli alikuwa anatumia majaliwa yake ili apate mkate wake wa kila siku! Alifika mbali katika Shughuli zake hizo mpaka akatoa video ya Kitchen Party akimaanisha Shughuli ya ukungwi anaimudu! Ila kila nafsi sharti ionje mauti dada yetu alipata ajali mbaya ya basi na kupoteza uhai wake! Ya kweli tutakukumbuka dada yetu mpendwa shenazi!

No comments:

Post a Comment