Bahati ilioje
Hebu fikiria wewe mdau mwenzangu upate nafasi ya kukaa kwenye jumba la raha! Humo kula bure, kuvaa bure, kunywa chochote upendacho na mambo mengineya faragha, fanya lolote utakalo, watu kutukanana, kugombana kisha walipwa dola $100,000/= ukatumbulie nazo raha mbele ya safari! Hii ni bahati ilioje na imemtokea mtanzania mwenzetu Mr Richard nadhani wote mnajua ila sijui kama alitoa hata senti tano kwa mayatima na wale ombaomba wetu waliojaa mabarabarani na nasikia bado anauza sura kwenye sinema zakibongo duuh jamaa kiboko! Ila habari ndio hiyo kupata bahati kama hiyo si jambo la mchezo wadau! Tumeni maoni yenu!

No comments:
Post a Comment