Amina wa Chifupa
Lala mahali pema peponi dada Amina! Kama ilivyo ada ya wanadamu kuna siku za furaha na siku za huzuni ila hakika tungelijua siku ya huzuni itakuwaje basi tungelijipanga tuwe tayari kupambana nayo.
Waweza ona picha mbili tofauti zikimuelezea dada yetu huyu ambaye alikuwa mwanasiasa kijana shujaa katika mapambano zidi ya wauza unga enzi hizo laiti leo angekuwapo hata hao mafisadi na wauwaji wa maalbino angepambana nao kwa nguvu zote! Ila si tija mapambano bado yanaendelea! Upumzike kwa amani dada!
No comments:
Post a Comment