KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Sunday, March 29, 2009

Msongo wa Mawazo aka STESS!


Msongo wa Mawazo aka STESS!
Khali ya msongo wa mawazo si ngeni kwetu sote.
Kwa maisha ya sasa kupata msongo wa mawazo ni jambo rahisi kupita kiasi.
Matumizi na mahitaji yetu kibinadamu yamekuwa makubwa na yanazidi kila kukicha, watu wanataka mali, heshima, nguvu na mambo mengineyo mengi.
Watu wanadiriki hata kutaka viungo vya wanadamu wenzao! Jamani hii ni ‘too much’.

Kwa kuishi maisha ya kuridhika na unachopata pia kuishi vema kimaadili na jamii yako na kujua kusamehe na kuomba msaada pale ushindwapo basi kwa kiasi kikubwa waweza punguza msongo wa mawazo.

No comments:

Post a Comment