Mama bonge
Haya jamani! Unajua wakati mwingine tuache masihara na maisha yetu ya kula ovyo na kutojishughulisha kabisaaaa.
Ona dada hapo yaani khali imekuwa tete kupita maelezo ila bado anafukia kwa kwenda mbele.
Kwa khali hii mtu waweza toa uhai kwa misosi tu.Huu ndio ubwanyenye wadau kula kuliko maelezo.
No comments:
Post a Comment